Mimi najishughulisha na mapishi ya aina mbalimbali ya vyakula naweza pika vyakula vya aina tofauti kama vile keki za harusi vyakula vya makabila mbalimbali maataifa mbalimbali kama vyakula vya kitanzania pia kama wali,ugali,samaki,maragebiriani magimbi ya nazi,mihogo ya nazi viazi utam vilivyo changanywa na sukari pamoja na nazi karanga za mayai supu za aina mbalimbali kama ya samaki,nama ya kuku na ngo'mbe bila kusahau chakula aina ya mtori.Pia kuna maandazi,chapati,sambusa,bagia za dengu navingine.
No comments:
Post a Comment